Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Malaika akamwambia, Sasa mpasue samaki huyu, ukachukue moyo na ini na nyongo, ukaviweke salama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Tobia akafanya kama malaika alivyokuwa amemwambia. Halafu akakaanga sehemu moja ya huyo samaki kwa chakula na sehemu nyingine akaitia chumvi kuihifadhi. Basi wakaendelea na safari yao pamoja mpaka walipokaribia Media. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Tobia akafanya kama malaika alivyokuwa amemwambia. Halafu akakaanga sehemu moja ya huyo samaki kwa chakula na sehemu nyingine akaitia chumvi kuihifadhi. Basi wakaendelea na safari yao pamoja mpaka walipokaribia Media. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Malaika akamwambia, Sasa mpasue samaki huyu, ukachukue moyo na ini na nyongo, ukaviweke salama. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Tobia akafanya kama malaika alivyokuwa amemwambia. Halafu akakaanga sehemu moja ya huyo samaki kwa chakula na sehemu nyingine akaitia chumvi kuihifadhi. Basi wakaendelea na safari yao pamoja mpaka walipokaribia Media. Tazama sura |