Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Malaika akamwambia, Mkamate yule samaki! Yule kijana akamkamata samaki akamkokota katika nchi kavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kijana akamkamata samaki na kumvutia nchi kavu. Malaika akasema, “Mpasue samaki huyo, utoe nyongo, moyo na ini lake, uviweke pembeni; lakini matumbo yatupe. Hiyo nyongo yake, moyo na ini lake vinafaa kwa dawa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kijana akamkamata samaki na kumvutia nchi kavu. Malaika akasema, “Mpasue samaki huyo, utoe nyongo, moyo na ini lake, uviweke pembeni; lakini matumbo yatupe. Hiyo nyongo yake, moyo na ini lake vinafaa kwa dawa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Malaika akamwambia, Mkamate yule samaki! Yule kijana akamkamata samaki akamkokota katika nchi kavu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Kijana akamkamata samaki na kumvutia nchi kavu. Malaika akasema, “Mpasue samaki huyo, utoe nyongo, moyo na ini lake, uviweke pembeni; lakini matumbo yatupe. Hiyo nyongo yake, moyo na ini lake vinafaa kwa dawa.” Tazama sura |