Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Yule kijana akateremka mtoni ili kuoga; kumbe! Samaki akaruka kutoka mtoni akitaka kummeza yule kijana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 naye malaika akamwambia: “Mkamate huyo samaki! Usimwachilie!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 naye malaika akamwambia: “Mkamate huyo samaki! Usimwachilie!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Yule kijana akateremka mtoni ili kuoga; kumbe! Samaki akaruka kutoka mtoni akitaka kummeza yule kijana. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 naye malaika akamwambia: “Mkamate huyo samaki! Usimwachilie!” Tazama sura |