Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Hata walipokuwa wakisafiri walifika jioni kwenye mto Tigri, wakatua huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi, kijana Tobia akateremka mtoni kunawa miguu. Mara, samaki mkubwa akaruka kutoka majini, akataka kummeza Tobia. Kijana alipiga ukelele, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi, kijana Tobia akateremka mtoni kunawa miguu. Mara, samaki mkubwa akaruka kutoka majini, akataka kummeza Tobia. Kijana alipiga ukelele, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Hata walipokuwa wakisafiri walifika jioni kwenye mto Tigri, wakatua huko. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 Basi, kijana Tobia akateremka mtoni kunawa miguu. Mara, samaki mkubwa akaruka kutoka majini, akataka kummeza Tobia. Kijana alipiga ukelele, Tazama sura |