Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Huku ukiingia katika chumba cha arusi, utatwaa majivu ya ubani, na juu yake utatia vipande vya moyo na ini vya samaki, nawe utafukiza moshi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 kusudi moshi wake uenee chumba kizima. Lile jini litakaponusa harufu yake litatimka mbio, na wala halitamsogelea tena Sara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 kusudi moshi wake uenee chumba kizima. Lile jini litakaponusa harufu yake litatimka mbio, na wala halitamsogelea tena Sara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Huku ukiingia katika chumba cha harusi, utatwaa majivu ya ubani, na juu yake utatia vipande vya moyo na ini vya samaki, nawe utafukiza moshi wake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA17 kusudi moshi wake uenee chumba kizima. Lile jini litakaponusa harufu yake litatimka mbio, na wala halitamsogelea tena Sara. Tazama sura |