Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Malaika akamwambia, Je! Huyakumbuki mausia aliyokuusia baba yako, ya kuwa uchukue mke wa jamaa yako? Na sasa, ndugu yangu, unisikilize, madhali yapasa awe mke wako; wala usimjali yule jini; kwa maana hata usiku huu huyu ataozwa kuwa mke wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Utakapoingia chumbani kulala, chukua ule moyo wa samaki na ini, weka juu ya ubani unaoungua, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Utakapoingia chumbani kulala, chukua ule moyo wa samaki na ini, weka juu ya ubani unaoungua, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Malaika akamwambia, Je! Huyakumbuki mausia aliyokuusia baba yako, ya kuwa uchukue mke wa jamaa yako? Na sasa, ndugu yangu, unisikilize, madhali yapasa awe mke wako; wala usimjali yule jini; kwa maana hata usiku huu huyu ataozwa kuwa mke wako. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 Utakapoingia chumbani kulala, chukua ule moyo wa samaki na ini, weka juu ya ubani unaoungua, Tazama sura |