Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Nami ni mwana pekee wa baba yangu; nami naogopa nisije nikaingia, nikafa kama wale walionitangulia; maana jini ampenda, ambaye hamdhuru mtu ila wale wamkaribiao. Na sasa naogopa nisije nikafa, nikaleta maisha ya baba yangu na mama yangu kaburini kwa huzuni kwa ajili yangu; wala hawana mwana mwingine wa kuwazika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Malaika akamjibu, “Hivi umekwisha sahau maagizo ya baba yako? Alikuambia umwoe mwanamke wa kabila lako. Basi, nisikilize kwa makini. Usihangaike juu ya hilo jini. Mchukue Sara! Najua kwamba leo usiku Ragueli atakuruhusu umwoe Sara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Malaika akamjibu, “Hivi umekwisha sahau maagizo ya baba yako? Alikuambia umwoe mwanamke wa kabila lako. Basi, nisikilize kwa makini. Usihangaike juu ya hilo jini. Mchukue Sara! Najua kwamba leo usiku Ragueli atakuruhusu umwoe Sara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Nami ni mwana pekee wa baba yangu; nami naogopa nisije nikaingia, nikafa kama wale walionitangulia; maana jini ampenda, ambaye hamdhuru mtu ila wale wamkaribiao. Na sasa naogopa nisije nikafa, nikaleta maisha ya baba yangu na mama yangu kaburini kwa huzuni kwa ajili yangu; wala hawana mwana mwingine wa kuwazika. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Malaika akamjibu, “Hivi umekwisha sahau maagizo ya baba yako? Alikuambia umwoe mwanamke wa kabila lako. Basi, nisikilize kwa makini. Usihangaike juu ya hilo jini. Mchukue Sara! Najua kwamba leo usiku Ragueli atakuruhusu umwoe Sara. Tazama sura |