Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Kisha yule kijana akamjibu malaika, Ndugu yangu Azaria, mimi nimesikia ya kama mwanamwali huyu ameolewa na waume saba, nao wote wameangamia katika chumba cha arusi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Tena nimesikia kwamba jini ndilo lililowaua. Jini hilo halimdhuru Sara, lakini humuua kila mwanamume anayejaribu kumsogelea Sara. Naliogopa jini hilo. Mimi ni mtoto wa pekee kwa wazazi wangu, na kama nikifa wazazi wangu wataaga dunia kwa uchungu wa kifo changu. Hawana hata mwana mwingine wa kuwazika.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Tena nimesikia kwamba jini ndilo lililowaua. Jini hilo halimdhuru Sara, lakini humuua kila mwanamume anayejaribu kumsogelea Sara. Naliogopa jini hilo. Mimi ni mtoto wa pekee kwa wazazi wangu, na kama nikifa wazazi wangu wataaga dunia kwa uchungu wa kifo changu. Hawana hata mwana mwingine wa kuwazika.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Kisha yule kijana akamjibu malaika, Ndugu yangu Azaria, mimi nimesikia ya kama mwanamwali huyu ameolewa na waume saba, nao wote wameangamia katika chumba cha harusi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 Tena nimesikia kwamba jini ndilo lililowaua. Jini hilo halimdhuru Sara, lakini humuua kila mwanamume anayejaribu kumsogelea Sara. Naliogopa jini hilo. Mimi ni mtoto wa pekee kwa wazazi wangu, na kama nikifa wazazi wangu wataaga dunia kwa uchungu wa kifo changu. Hawana hata mwana mwingine wa kuwazika.” Tazama sura |