Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Basi sasa unisikilize, nami nitasema na baba yake; hata tutakaporudi kutoka Rage tutafanya arusi. Kwa maana najua ya kwamba Ragueli hawezi kumwoza kwa mwingine, kama iamuruvyo Torati ya Musa, ila itampasa kufa; kwa sababu ni haki yako kuupokea urithi huu kuliko mtu mwingine wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kisha Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria, nimekwisha sikia yaliyowapata waume saba wa Sara, jinsi kila mmoja wao alivyokufa ghafla siku ya harusi; kila mmoja alikufa kabla ya kulala naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kisha Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria, nimekwisha sikia yaliyowapata waume saba wa Sara, jinsi kila mmoja wao alivyokufa ghafla siku ya harusi; kila mmoja alikufa kabla ya kulala naye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Basi sasa unisikilize, nami nitasema na baba yake; hata tutakaporudi kutoka Rage tutafanya harusi. Kwa maana najua ya kwamba Ragueli hawezi kumwoza kwa mwingine, kama iamuruvyo Torati ya Musa, ila itampasa kufa; kwa sababu ni haki yako kuupokea urithi huu kuliko mtu mwingine wote. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Kisha Tobia akamwambia Rafaeli, “Ndugu yangu Azaria, nimekwisha sikia yaliyowapata waume saba wa Sara, jinsi kila mmoja wao alivyokufa ghafla siku ya harusi; kila mmoja alikufa kabla ya kulala naye. Tazama sura |