Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 malaika alimwambia yule kijana, Ndugu yangu, leo tutatua kwa Ragueli, aliye jamaa yako; naye ana binti yake pekee, jina lake Sara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kimila wewe ni wa karibu sana naye na unayo haki ya kumwoa Sara na kurithi mali ya baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kimila wewe ni wa karibu sana naye na unayo haki ya kumwoa Sara na kurithi mali ya baba yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 malaika alimwambia yule kijana, Ndugu yangu, leo tutatua kwa Ragueli, aliye jamaa yako; naye ana binti yake pekee, jina lake Sara. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Kimila wewe ni wa karibu sana naye na unayo haki ya kumwoa Sara na kurithi mali ya baba yake. Tazama sura |