Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 6:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi akaacha kulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi, Ana akaacha kulia. Hapo, Tobia akifuatwa na mbwa wake, akaanza safari pamoja na yule malaika. Jioni ya siku ile ya kwanza ya safari wakawa wamefika kando ya mto Tigri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi, Ana akaacha kulia. Hapo, Tobia akifuatwa na mbwa wake, akaanza safari pamoja na yule malaika. Jioni ya siku ile ya kwanza ya safari wakawa wamefika kando ya mto Tigri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Basi akaacha kulia. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Basi, Ana akaacha kulia. Hapo, Tobia akifuatwa na mbwa wake, akaanza safari pamoja na yule malaika. Jioni ya siku ile ya kwanza ya safari wakawa wamefika kando ya mto Tigri. Tazama sura |