Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Akamwita, naye akaja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Tobia aliingia ndani, na kumwambia baba yake, “Nimempata Mwisraeli mwenzangu atakayenisindikiza katika safari yangu.” Tobiti akajibu, “Mwite aje ndani. Ningependa kujua ni wa jamaa gani na kabila gani, na kama ni mtu wa kuaminika safarini pamoja nawe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Tobia aliingia ndani, na kumwambia baba yake, “Nimempata Mwisraeli mwenzangu atakayenisindikiza katika safari yangu.” Tobiti akajibu, “Mwite aje ndani. Ningependa kujua ni wa jamaa gani na kabila gani, na kama ni mtu wa kuaminika safarini pamoja nawe.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Akamwita, naye akaja. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Tobia aliingia ndani, na kumwambia baba yake, “Nimempata Mwisraeli mwenzangu atakayenisindikiza katika safari yangu.” Tobiti akajibu, “Mwite aje ndani. Ningependa kujua ni wa jamaa gani na kabila gani, na kama ni mtu wa kuaminika safarini pamoja nawe.” Tazama sura |