Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Basi Tobia akamwambia, Haya! Ningoje kwanza hata nikamwambie baba yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ningoje hapa, rafiki yangu; nakwenda kumweleza babangu. Ningependa unisindikize hadi Media, nami nitakulipa kwa safari hiyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ningoje hapa, rafiki yangu; nakwenda kumweleza babangu. Ningependa unisindikize hadi Media, nami nitakulipa kwa safari hiyo.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Basi Tobia akamwambia, Haya! Ningoje kwanza hata nikamwambie baba yangu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Basi, Tobia akamwambia Rafaeli, “Ningoje hapa, rafiki yangu; nakwenda kumweleza babangu. Ningependa unisindikize hadi Media, nami nitakulipa kwa safari hiyo.” Tazama sura |