Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Malaika akamwambia, Mimi nitakwenda nawe, nami naijua sana njia; hata nimekaribishwa kwake ndugu yetu Gabaeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Rafaeli akajibu, “Ndiyo, naijua. Nimekuwa nikienda Media mara nyingi, na barabara zote nazijua vizuri. Kule Media nilikuwa nakaa na jamaa yetu Gabaeli, ambaye anakaa mjini Rage. Rage ni milimani na ni mwendo wa siku kama mbili hadi Ekbatana, mji mkuu wa Media.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Rafaeli akajibu, “Ndiyo, naijua. Nimekuwa nikienda Media mara nyingi, na barabara zote nazijua vizuri. Kule Media nilikuwa nakaa na jamaa yetu Gabaeli, ambaye anakaa mjini Rage. Rage ni milimani na ni mwendo wa siku kama mbili hadi Ekbatana, mji mkuu wa Media.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Malaika akamwambia, Mimi nitakwenda nawe, nami naijua sana njia; hata nimekaribishwa kwake ndugu yetu Gabaeli. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Rafaeli akajibu, “Ndiyo, naijua. Nimekuwa nikienda Media mara nyingi, na barabara zote nazijua vizuri. Kule Media nilikuwa nakaa na jamaa yetu Gabaeli, ambaye anakaa mjini Rage. Rage ni milimani na ni mwendo wa siku kama mbili hadi Ekbatana, mji mkuu wa Media.” Tazama sura |