Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 5:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Basi alimpa ile hati; akamwambia, Kajitafutie mtu atakayefuatana nawe, nami nitampa mshahara wake nikiwa bado hai; kisha uende ukaipokee ile fedha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Hapo Tobiti akamjibu mwanawe Tobia, “Gabaeli na mimi tuliandika hati ya mapatano na kuweka sahihi zetu. Kisha tukaipasua katikati; nusu moja anayo yeye pamoja na fedha na nusu nyingine ninayo mimi. Tulikabidhiana miaka ishirini iliyopita! Sasa, nenda ukamtafute mtu wa kuaminika atakayekusindikiza hadi Media na kurudi nawe hapa. Mtakaporudi tutamlipa mshahara wake. Lakini ni lazima uipate fedha niliyomwachia Gabaeli.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

BIBLIA KISWAHILI

3 Basi alimpa ile hati; akamwambia, Kajitafutie mtu atakayefuatana nawe, nami nitampa mshahara wake nikiwa bado hai; kisha uende ukaipokee ile fedha.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

3 Hapo Tobiti akamjibu mwanawe Tobia, “Gabaeli na mimi tuliandika hati ya mapatano na kuweka sahihi zetu. Kisha tukaipasua katikati; nusu moja anayo yeye pamoja na fedha na nusu nyingine ninayo mimi. Tulikabidhiana miaka ishirini iliyopita! Sasa, nenda ukamtafute mtu wa kuaminika atakayekusindikiza hadi Media na kurudi nawe hapa. Mtakaporudi tutamlipa mshahara wake. Lakini ni lazima uipate fedha niliyomwachia Gabaeli.”

Tazama sura Nakili

Tobiti 5:3
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo