Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Tobiti akamjibu, Mwenzangu, usijisumbue; yeye atarudi salama, na macho yako yatamwona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Lakini Tobiti akamwambia mkewe, “Usiwe na wasiwasi dada. Mtoto wetu atakwenda na kurudi salama. Nawe utamwona tena kwa macho yako. Usiseme tena; wala kuhangaika juu yao, mpenzi! Malaika mwema atakwenda naye. Mtoto wetu atasafiri salama na kurudi mwenye afya njema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Lakini Tobiti akamwambia mkewe, “Usiwe na wasiwasi dada. Mtoto wetu atakwenda na kurudi salama. Nawe utamwona tena kwa macho yako. Usiseme tena; wala kuhangaika juu yao, mpenzi! Malaika mwema atakwenda naye. Mtoto wetu atasafiri salama na kurudi mwenye afya njema.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Tobiti akamjibu, Mwenzangu, usijisumbue; yeye atarudi salama, na macho yako yatamwona. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA21 Lakini Tobiti akamwambia mkewe, “Usiwe na wasiwasi dada. Mtoto wetu atakwenda na kurudi salama. Nawe utamwona tena kwa macho yako. Usiseme tena; wala kuhangaika juu yao, mpenzi! Malaika mwema atakwenda naye. Mtoto wetu atasafiri salama na kurudi mwenye afya njema.” Tazama sura |