Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Bali Ana, mama yake, akalia; akamwambia Tobiti, Mbona umemsafirisha mtoto wetu? Siye fimbo yetu ya mkononi, kwa kuingia na kutoka mbele yetu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ndipo Ana, mama yake Tobia akaanza kulia, akamwambia mumewe, “Unawezaje kumtuma mtoto wetu mbali namna hiyo? Yeye ndiye tegemeo letu akiwa pamoja nasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ndipo Ana, mama yake Tobia akaanza kulia, akamwambia mumewe, “Unawezaje kumtuma mtoto wetu mbali namna hiyo? Yeye ndiye tegemeo letu akiwa pamoja nasi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Bali Ana, mama yake, akalia; akamwambia Tobiti, Mbona umemsafirisha mtoto wetu? Siye fimbo yetu ya mkononi, kwa kuingia na kutoka mbele yetu? Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA18 Ndipo Ana, mama yake Tobia akaanza kulia, akamwambia mumewe, “Unawezaje kumtuma mtoto wetu mbali namna hiyo? Yeye ndiye tegemeo letu akiwa pamoja nasi. Tazama sura |