Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Akamwambia Tobia, Kajiweke tayari kwa safari; naye Mungu akujalieni safari njema. Naye mwanawe alipokwisha kuyaweka tayari mahitaji yake ya safari, baba yake akamwambia, Nenda na mtu huyu; na Mungu akaaye mbinguni ataifanikisha safari yenu; na malaika wake afuatane nanyi. Hivyo wakaondoka wote wawili, na mbwa wa yule kijana akafuatana nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi Tobiti akasema, “Ndugu, nakutakia baraka za Mungu.” Kisha akamwita Tobia, akamwambia, “Mwanangu, tayarisha kila kitu mnachohitaji kwa safari, uondoke pamoja na ndugu yako. Mungu wa mbinguni awalinde huko ngambo, awarudishe kwangu salama salimini. Malaika wake aende nanyi na kuwalinda njiani, mwanangu!” Kabla ya kuanza safari ya Media, Tobia alimbusu baba yake na mama yake. Tobiti akamwambia, “Safari njema!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi Tobiti akasema, “Ndugu, nakutakia baraka za Mungu.” Kisha akamwita Tobia, akamwambia, “Mwanangu, tayarisha kila kitu mnachohitaji kwa safari, uondoke pamoja na ndugu yako. Mungu wa mbinguni awalinde huko ng'ambo, awarudishe kwangu salama salimini. Malaika wake aende nanyi na kuwalinda njiani, mwanangu!” Kabla ya kuanza safari ya Media, Tobia alimbusu baba yake na mama yake. Tobiti akamwambia, “Safari njema!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Akamwambia Tobia, Kajiweke tayari kwa safari; naye Mungu akujalieni safari njema. Naye mwanawe alipokwisha kuyaweka tayari mahitaji yake ya safari, baba yake akamwambia, Nenda na mtu huyu; na Mungu akaaye mbinguni ataifanikisha safari yenu; na malaika wake afuatane nanyi. Hivyo wakaondoka wote wawili, na mbwa wa yule kijana akafuatana nao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA17 Basi Tobiti akasema, “Ndugu, nakutakia baraka za Mungu.” Kisha akamwita Tobia, akamwambia, “Mwanangu, tayarisha kila kitu mnachohitaji kwa safari, uondoke pamoja na ndugu yako. Mungu wa mbinguni awalinde huko ngambo, awarudishe kwangu salama salimini. Malaika wake aende nanyi na kuwalinda njiani, mwanangu!” Kabla ya kuanza safari ya Media, Tobia alimbusu baba yake na mama yake. Tobiti akamwambia, “Safari njema!” Tazama sura |