Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Tena, mkirudi salama, nitatoa faida zaidi ya mshahara wako. Wakapatana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 na mkirudi salama nitakuongezea kitu.” Rafaeli akajibu, “Nitakwenda naye, wala usiwe na wasiwasi. Tutakwenda na kurudi salama. Hakuna hatari njiani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 na mkirudi salama nitakuongezea kitu.” Rafaeli akajibu, “Nitakwenda naye, wala usiwe na wasiwasi. Tutakwenda na kurudi salama. Hakuna hatari njiani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Tena, mkirudi salama, nitatoa faida zaidi ya mshahara wako. Wakapatana. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 na mkirudi salama nitakuongezea kitu.” Rafaeli akajibu, “Nitakwenda naye, wala usiwe na wasiwasi. Tutakwenda na kurudi salama. Hakuna hatari njiani.” Tazama sura |