Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Lakini sasa uniambie, nikupe mshahara gani? Je! Shilingi kutwa na riziki yako, kama apatavyo mwanangu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Tobiti akaendelea kusema, “Nitakulipa mshahara wa kawaida wa kutwa, na kulipa gharama zako na za mwanangu. Basi, nenda na mwanangu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Tobiti akaendelea kusema, “Nitakulipa mshahara wa kawaida wa kutwa, na kulipa gharama zako na za mwanangu. Basi, nenda na mwanangu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Lakini sasa uniambie, nikupe mshahara gani? Je! Shilingi kutwa na riziki yako, kama apatavyo mwanangu? Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Tobiti akaendelea kusema, “Nitakulipa mshahara wa kawaida wa kutwa, na kulipa gharama zako na za mwanangu. Basi, nenda na mwanangu, Tazama sura |