Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 5:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Tobiti akamwambia, Ee ndugu, karibu; usinikasirikie kwa sababu nilitafuta habari za kabila lako na jamaa yako; maana ndiwe uliye ndugu yangu wa ukoo mwema mzuri. Kweli niliwafahamu Anania na Yonathani, wana wa Shemaya mkuu, tulipokuwa tukienda wote Yerusalemu ili kuabudu. Tulikuwa tukitoa wazalia wa kwanza, na zaka za mazao yetu; wala hao hawakupotoka kwa kulifuatisha kosa la ndugu zetu. Ndugu yangu, wewe u mtu wa ukoo mstahifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Basi, Tobiti akamwambia, “Karibu sana, ndugu! Usikasirike kwa sababu nilitaka kujua ukweli juu yako na jamaa yako. Kumbe, wewe ni wa jamaa yangu, jamaa nzuri inayoheshimika! Nawajua Anania na Nathani, wale wana wawili wa mzee maarufu Shemaya. Tulizoea kwenda pamoja kuhiji Yerusalemu; wao hawajapata kamwe kuiacha njia njema. Jamaa zako ni watu waadilifu; umetoka katika ukoo mwema!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

BIBLIA KISWAHILI

14 Tobiti akamwambia, Ee ndugu, karibu; usinikasirikie kwa sababu nilitafuta habari za kabila lako na jamaa yako; maana ndiwe uliye ndugu yangu wa ukoo mwema mzuri. Kweli niliwafahamu Anania na Yonathani, wana wa Shemaya mkuu, tulipokuwa tukienda wote Yerusalemu ili kuabudu. Tulikuwa tukitoa wazaliwa wa kwanza, na zaka za mazao yetu; wala hao hawakupotoka kwa kulifuatisha kosa la ndugu zetu. Ndugu yangu, wewe u mtu wa ukoo mstahifu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

14 Basi, Tobiti akamwambia, “Karibu sana, ndugu! Usikasirike kwa sababu nilitaka kujua ukweli juu yako na jamaa yako. Kumbe, wewe ni wa jamaa yangu, jamaa nzuri inayoheshimika! Nawajua Anania na Nathani, wale wana wawili wa mzee maarufu Shemaya. Tulizoea kwenda pamoja kuhiji Yerusalemu; wao hawajapata kamwe kuiacha njia njema. Jamaa zako ni watu waadilifu; umetoka katika ukoo mwema!”

Tazama sura Nakili

Tobiti 5:14
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo