Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Akamwambia, Je! Watafuta kabila na jamaa, au mtu wa mshahara kwenda na mwanao? Tobiti akamwambia, Ndugu, nina haja kujua jamaa yako na jina lako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini Rafaeli akamwuliza, “Kwa nini unataka kujua kabila langu?” Naye Tobiti akaendelea kusema, “Nataka kujua kwa hakika wazazi wako ni nani na jina lako ni nani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini Rafaeli akamwuliza, “Kwa nini unataka kujua kabila langu?” Naye Tobiti akaendelea kusema, “Nataka kujua kwa hakika wazazi wako ni nani na jina lako ni nani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Akamwambia, Je! Watafuta kabila na jamaa, au mtu wa mshahara kwenda na mwanao? Tobiti akamwambia, Ndugu, nina haja kujua jamaa yako na jina lako. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Lakini Rafaeli akamwuliza, “Kwa nini unataka kujua kabila langu?” Naye Tobiti akaendelea kusema, “Nataka kujua kwa hakika wazazi wako ni nani na jina lako ni nani.” Tazama sura |