Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 5:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wakasalimiana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Basi, Tobia akatoka nje, akamwita Rafaeli akisema, “Baba yangu anakuita.” Rafaeli alipoingia ndani, Tobiti alianza kumwamkia mgeni huyo. Naye malaika akamwitikia, akimtakia furaha kwa wingi. Lakini Tobiti akamjibu, “Nitakuwaje na furaha tena? Mimi ni kipofu, na sioni kitu. Nimezama gizani kama wafu wasiouona tena mwanga. Inawezekana nimekwisha fariki! Naweza kuwasikia watu wakiongea, lakini siwezi kuwaona.” Malaika akamwambia Tobiti, “Jipe moyo! Mungu atakuponya hivi karibuni. Usihangaike!” Kisha Tobiti akasema, “Mwanangu Tobia anataka kwenda Media. Je, unaweza kufuatana naye na kumwonesha njia? Nitakulipa, usiwe na wasiwasi.” Rafaeli akajibu, “Bila wasiwasi, naweza kwenda naye. Nimekwenda huko mara nyingi, na nazijua barabara zote za milimani na mabondeni.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Basi, Tobia akatoka nje, akamwita Rafaeli akisema, “Baba yangu anakuita.” Rafaeli alipoingia ndani, Tobiti alianza kumwamkia mgeni huyo. Naye malaika akamwitikia, akimtakia furaha kwa wingi. Lakini Tobiti akamjibu, “Nitakuwaje na furaha tena? Mimi ni kipofu, na sioni kitu. Nimezama gizani kama wafu wasiouona tena mwanga. Inawezekana nimekwisha fariki! Naweza kuwasikia watu wakiongea, lakini siwezi kuwaona.” Malaika akamwambia Tobiti, “Jipe moyo! Mungu atakuponya hivi karibuni. Usihangaike!” Kisha Tobiti akasema, “Mwanangu Tobia anataka kwenda Media. Je, unaweza kufuatana naye na kumwonesha njia? Nitakulipa, usiwe na wasiwasi.” Rafaeli akajibu, “Bila wasiwasi, naweza kwenda naye. Nimekwenda huko mara nyingi, na nazijua barabara zote za milimani na mabondeni.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Wakasalimiana. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Basi, Tobia akatoka nje, akamwita Rafaeli akisema, “Baba yangu anakuita.” Rafaeli alipoingia ndani, Tobiti alianza kumwamkia mgeni huyo. Naye malaika akamwitikia, akimtakia furaha kwa wingi. Lakini Tobiti akamjibu, “Nitakuwaje na furaha tena? Mimi ni kipofu, na sioni kitu. Nimezama gizani kama wafu wasiouona tena mwanga. Inawezekana nimekwisha fariki! Naweza kuwasikia watu wakiongea, lakini siwezi kuwaona.” Malaika akamwambia Tobiti, “Jipe moyo! Mungu atakuponya hivi karibuni. Usihangaike!” Kisha Tobiti akasema, “Mwanangu Tobia anataka kwenda Media. Je, unaweza kufuatana naye na kumwonesha njia? Nitakulipa, usiwe na wasiwasi.” Rafaeli akajibu, “Bila wasiwasi, naweza kwenda naye. Nimekwenda huko mara nyingi, na nazijua barabara zote za milimani na mabondeni.” Tazama sura |