Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Ukiwa na wingi utoe sawasawa na wingi wako; ukiwa na kidogo tu usiogope kutoa sawasawa na kidogo hicho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Toa ulicho nacho. Ukiwa na zaidi, toa zaidi. Hata kama unacho kidogo tu, toa sehemu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Toa ulicho nacho. Ukiwa na zaidi, toa zaidi. Hata kama unacho kidogo tu, toa sehemu yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Ukiwa na wingi utoe sawasawa na wingi wako; ukiwa na kidogo tu usiogope kutoa sawasawa na kidogo hicho. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Toa ulicho nacho. Ukiwa na zaidi, toa zaidi. Hata kama unacho kidogo tu, toa sehemu yake. Tazama sura |