Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Toa sadaka katika mali zako; wala utoapo sadaka jicho lako lisiwe na choyo; wala usiugeuzie uso wako mbali na mtu maskini, nawe hutageuziwa mbali uso wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 “Toa sehemu ya mali yako kuwapa maskini. Kamwe usimpe kisogo mtu maskini naye Mungu hatakupa kisogo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 “Toa sehemu ya mali yako kuwapa maskini. Kamwe usimpe kisogo mtu maskini naye Mungu hatakupa kisogo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Toa sadaka katika mali zako; wala utoapo sadaka jicho lako lisiwe na choyo; wala usiugeuzie uso wako mbali na mtu maskini, nawe hutageuziwa mbali uso wa Mungu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 “Toa sehemu ya mali yako kuwapa maskini. Kamwe usimpe kisogo mtu maskini naye Mungu hatakupa kisogo. Tazama sura |