Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Kwa maana ukitenda kwa kweli matendo yako utakufanikiwa, nao wote watendao kwa haki watafanikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Maana ukitenda vitu kwa uaminifu utafanikiwa katika mambo yako yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Maana ukitenda vitu kwa uaminifu utafanikiwa katika mambo yako yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Kwa maana ukitenda kwa kweli matendo yako utafanikiwa, nao wote watendao kwa haki watafanikiwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Maana ukitenda vitu kwa uaminifu utafanikiwa katika mambo yako yote. Tazama sura |