Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Mwanangu, umkumbuke BWANA, Mungu wetu, siku zako zote; wala usikaze nia yako kutenda dhambi, wala kuzivunja amri zake; utende kwa unyofu maisha yako yote, wala usizifuate njia za uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Mwanangu, uwe mwaminifu kwa Bwana Mungu wetu siku zote za maisha yako. Usitende dhambi kwa kusudi, wala usivunje amri zake. Tenda yaliyo mema maisha yako yote wala usifuate njia ya uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Mwanangu, uwe mwaminifu kwa Bwana Mungu wetu siku zote za maisha yako. Usitende dhambi kwa kusudi, wala usivunje amri zake. Tenda yaliyo mema maisha yako yote wala usifuate njia ya uovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Mwanangu, umkumbuke BWANA, Mungu wetu, siku zako zote; wala usikaze nia yako kutenda dhambi, wala kuzivunja amri zake; utende kwa unyofu maisha yako yote, wala usizifuate njia za uovu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 “Mwanangu, uwe mwaminifu kwa Bwana Mungu wetu siku zote za maisha yako. Usitende dhambi kwa kusudi, wala usivunje amri zake. Tenda yaliyo mema maisha yako yote wala usifuate njia ya uovu. Tazama sura |