Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Mwanangu, ukumbuke ya kuwa alipatwa na hatari nyingi kwa ajili yako, ulipokuwamo tumboni mwake. Naye akiisha kufa, umzike pamoja nami katika kaburi moja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kumbuka mwanangu jinsi mama yako alivyohatarisha maisha yake apate kukuleta duniani. Basi wakati atakapofariki ni lazima umzike kando yangu katika kaburi moja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kumbuka mwanangu jinsi mama yako alivyohatarisha maisha yake apate kukuleta duniani. Basi wakati atakapofariki ni lazima umzike kando yangu katika kaburi moja. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mwanangu, ukumbuke ya kuwa alipatwa na hatari nyingi kwa ajili yako, ulipokuwamo tumboni mwake. Naye akiisha kufa, umzike pamoja nami katika kaburi moja. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Kumbuka mwanangu jinsi mama yako alivyohatarisha maisha yake apate kukuleta duniani. Basi wakati atakapofariki ni lazima umzike kando yangu katika kaburi moja. Tazama sura |