Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Alipomwita akamwambia, Mwanangu, nitakapokufa unizike; tena usimdharau mama yako; bali umheshimu siku zote za maisha yako, ukayatende yampendezayo, wala usimhuzunishe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, Tobiti akamwita Tobia, akamwambia, “Mwanangu, nitakapofariki, unizike ipasavyo. Kisha lazima umheshimu mama yako, umtunze vizuri maisha yako yote. Timiza mambo yote anayotaka uyafanye wala usimhuzunishe kwa vyovyote vile. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, Tobiti akamwita Tobia, akamwambia, “Mwanangu, nitakapofariki, unizike ipasavyo. Kisha lazima umheshimu mama yako, umtunze vizuri maisha yako yote. Timiza mambo yote anayotaka uyafanye wala usimhuzunishe kwa vyovyote vile. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Alipomwita akamwambia, Mwanangu, nitakapokufa unizike; tena usimdharau mama yako; bali umheshimu siku zote za maisha yako, ukayatende yampendezayo, wala usimhuzunishe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Basi, Tobiti akamwita Tobia, akamwambia, “Mwanangu, nitakapofariki, unizike ipasavyo. Kisha lazima umheshimu mama yako, umtunze vizuri maisha yako yote. Timiza mambo yote anayotaka uyafanye wala usimhuzunishe kwa vyovyote vile. Tazama sura |