Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Wala usihofu, mwanangu, ya kuwa tumekuwa maskini; maana una mali nyingi, huku ukimcha Mungu, na kujiepusha na dhambi zote, na kutenda mambo yale yampendezayo machoni pake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, usiwe na hofu kwamba sisi tumekuwa maskini. Kama ukimcha Mungu, ukaepukana na kila dhambi na kutenda yanayompendeza utakuwa na mali nyingi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, usiwe na hofu kwamba sisi tumekuwa maskini. Kama ukimcha Mungu, ukaepukana na kila dhambi na kutenda yanayompendeza utakuwa na mali nyingi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Wala usihofu, mwanangu, ya kuwa tumekuwa maskini; maana una mali nyingi, huku ukimcha Mungu, na kujiepusha na dhambi zote, na kutenda mambo yale yampendezayo machoni pake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA21 Basi, usiwe na hofu kwamba sisi tumekuwa maskini. Kama ukimcha Mungu, ukaepukana na kila dhambi na kutenda yanayompendeza utakuwa na mali nyingi.” Tazama sura |