Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Na sasa nakuarifu habari ya kuwa nilimkabidhi Gabaeli mwana wa Gabria talanta kumi huko Rage, mji wa Umedi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Na sasa mwanangu, napenda kukujulisha kuwa zamani nilimkabidhi fedha nyingi Gabaeli, mwana wa Gabria, huko Rage katika nchi ya Media. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Na sasa mwanangu, napenda kukujulisha kuwa zamani nilimkabidhi fedha nyingi Gabaeli, mwana wa Gabria, huko Rage katika nchi ya Media. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Na sasa nakuarifu, kuwa nilimkabidhi Gabaeli mwana wa Gabria talanta kumi huko Rage, mji wa Umedi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA20 Na sasa mwanangu, napenda kukujulisha kuwa zamani nilimkabidhi fedha nyingi Gabaeli, mwana wa Gabria, huko Rage katika nchi ya Media. Tazama sura |