Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Akasema nafsini mwake, Nimetaka kufa; mbona nisimwite mwanangu Tobia, ili nimwarifu habari za ile fedha kabla sijafa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi akafikiri: “Kwa vile nimemwomba Mungu nife, yanipasa nimwite mwanangu Tobia na kumweleza kuhusu fedha hiyo kabla sijafa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi akafikiri: “Kwa vile nimemwomba Mungu nife, yanipasa nimwite mwanangu Tobia na kumweleza kuhusu fedha hiyo kabla sijafa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Akasema nafsini mwake, Nimetaka kufa; mbona nisimwite mwanangu Tobia, ili nimwarifu habari za ile fedha kabla sijafa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 Basi akafikiri: “Kwa vile nimemwomba Mungu nife, yanipasa nimwite mwanangu Tobia na kumweleza kuhusu fedha hiyo kabla sijafa.” Tazama sura |