Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 4:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Umhimidi BWANA, Mungu wako, siku zote. Umwombe Yeye ili njia zako zinyoshwe, na mapito yako yote na mashauri yako yote yafanikiwe; maana katika mataifa hakuna lenye shauri; bali BWANA mwenyewe ndiye atoaye mema yote, naye humdhili yeyote atakaye na kama atakavyo. Basi, mwanangu, uyakumbuke mausia yangu, wala usiyaache kufutika katika nia yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Umtukuze Bwana Mungu wako siku zote. Umwombe aongoze njia zako na kuzifanikisha shughuli zako. Maana hekima si mali ya kila taifa. Mungu mwenyewe ndiye awapaye mema yote. Akitaka humwangusha mtu hata mpaka kuzimu. Basi Mwanangu uyakumbuke mawaidha yangu wala usiyaache yafutike moyoni mwako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Umtukuze Bwana Mungu wako siku zote. Umwombe aongoze njia zako na kuzifanikisha shughuli zako. Maana hekima si mali ya kila taifa. Mungu mwenyewe ndiye awapaye mema yote. Akitaka humwangusha mtu hata mpaka kuzimu. Basi Mwanangu uyakumbuke mawaidha yangu wala usiyaache yafutike moyoni mwako.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Umhimidi BWANA, Mungu wako, siku zote. Umwombe Yeye ili njia zako zinyoshwe, na mapito yako yote na mashauri yako yote yafanikiwe; maana katika mataifa hakuna lenye shauri; bali BWANA mwenyewe ndiye atoaye mema yote, naye humdhili yeyote atakaye na kama atakavyo. Basi, mwanangu, uyakumbuke mausia yangu, wala usiyaache kufutika katika nia yako.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

19 Umtukuze Bwana Mungu wako siku zote. Umwombe aongoze njia zako na kuzifanikisha shughuli zako. Maana hekima si mali ya kila taifa. Mungu mwenyewe ndiye awapaye mema yote. Akitaka humwangusha mtu hata mpaka kuzimu. Basi Mwanangu uyakumbuke mawaidha yangu wala usiyaache yafutike moyoni mwako.

Tazama sura Nakili

Tobiti 4:19
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo