Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Utoe chakula kwa ukarimu kwenye maziko ya wenye haki; lakini waovu usiwape kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mcha Mungu akifariki, toa chakula kwa ajili ya jamaa yake, lakini usifanye hivyo akifa mtu mwovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mcha Mungu akifariki, toa chakula kwa ajili ya jamaa yake, lakini usifanye hivyo akifa mtu mwovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Utoe chakula kwa ukarimu kwenye maziko ya wenye haki; lakini waovu usiwape kitu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA17 Mcha Mungu akifariki, toa chakula kwa ajili ya jamaa yake, lakini usifanye hivyo akifa mtu mwovu. Tazama sura |