Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Na yale uyachukiayo mwenyewe usimtende mtu yeyote kama yale. Usijilevye kwa mvinyo, wala mlevi asifuatane nawe katika njia yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Usimtendee mtu usichotaka kutendewa wewe mwenyewe. “Usinywe pombe na kulewa; ulevi usiwe mwenzio. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Usimtendee mtu usichotaka kutendewa wewe mwenyewe. “Usinywe pombe na kulewa; ulevi usiwe mwenzio. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Na yale uyachukiayo mwenyewe usimtendee mtu yeyote kama yale. Usijilevye kwa mvinyo, wala mlevi asifuatane nawe katika njia yako. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Usimtendee mtu usichotaka kutendewa wewe mwenyewe. “Usinywe pombe na kulewa; ulevi usiwe mwenzio. Tazama sura |