Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Mshahara wa mtu yeyote aliyekufanyia kazi usikae nao, bali umpe mara; maana wewe ukimtumikia Mungu, Yeye atakulipa. Mwanagu, uwe na hadhari katika matendo yako yote, pia uwe na busara katika mwenendo wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Usiiweke mishahara ya vibarua wako mpaka kesho yake. Lazima uwalipe mara moja. Kama ukimheshimu Mungu, yeye atakupa tuzo lako. Uwe mwangalifu katika matendo yako yote; uwe na nidhamu katika mwenendo wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Usiiweke mishahara ya vibarua wako mpaka kesho yake. Lazima uwalipe mara moja. Kama ukimheshimu Mungu, yeye atakupa tuzo lako. Uwe mwangalifu katika matendo yako yote; uwe na nidhamu katika mwenendo wako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Mshahara wa mtu yeyote aliyekufanyia kazi usikae nao, bali umpe mara; maana wewe ukimtumikia Mungu, Yeye atakulipa. Mwanagu, uwe na hadhari katika matendo yako yote, pia uwe na busara katika mwenendo wako. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 “Usiiweke mishahara ya vibarua wako mpaka kesho yake. Lazima uwalipe mara moja. Kama ukimheshimu Mungu, yeye atakupa tuzo lako. Uwe mwangalifu katika matendo yako yote; uwe na nidhamu katika mwenendo wako. Tazama sura |