Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Basi sasa, mwanangu, uwapende ndugu zako, kwa kumchukua mke aliye wa kwao; wala moyoni mwako usiwadharau ndugu zako, wana na binti za watu wako. Maana katika dharau kuna uharibifu na udhia mwingi, na katika upotovu kuna upunguo na uhitaji mwingi; mradi upotovu huzaa njaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Hali kadhalika nawe mwanangu, ni lazima uwapende jamaa zako. Usiwe na majivuno hata ukaacha kuoa kutoka jamaa yako. Majivuno kama hayo huleta maangamizi na hasara kubwa, kama vile uvivu uletavyo ufukara na njaa kali. Maana uvivu ni mama wa njaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Hali kadhalika nawe mwanangu, ni lazima uwapende jamaa zako. Usiwe na majivuno hata ukaacha kuoa kutoka jamaa yako. Majivuno kama hayo huleta maangamizi na hasara kubwa, kama vile uvivu uletavyo ufukara na njaa kali. Maana uvivu ni mama wa njaa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Basi sasa, mwanangu, uwapende ndugu zako, kwa kumchukua mke aliye wa kwao; wala moyoni mwako usiwadharau ndugu zako, wana na binti za watu wako. Maana katika dharau kuna uharibifu na udhia mwingi, na katika upotovu kuna upunguo na uhitaji mwingi; mradi upotovu huzaa njaa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

13 Hali kadhalika nawe mwanangu, ni lazima uwapende jamaa zako. Usiwe na majivuno hata ukaacha kuoa kutoka jamaa yako. Majivuno kama hayo huleta maangamizi na hasara kubwa, kama vile uvivu uletavyo ufukara na njaa kali. Maana uvivu ni mama wa njaa.

Tazama sura Nakili

Tobiti 4:13
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo