Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 4:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Mwanangu, ujihadhari na ukahaba; na zaidi ya hayo ujitwalie mke katika uzao wa baba zako; wala usijitwalie mwanamke mgeni asiye wa kabila ya baba yako. Maana sisi tu wana wa manabii. Mwanangu, ukumbuke; Nuhu, Abrahamu, Isaka, Yakobo, baba zetu tangu mwanzo; wote walioa watu wa jamaa zao wenyewe; wakabarikiwa katika watoto wao; na uzao wao utairithi nchi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 “Mwanangu, ujihadhari na maisha ya uasherati. Zaidi ya hayo, oa mke kutoka kabila la wazee wako. Usijichagulie mwanamke kuwa mkeo kutoka kabila lisilo la wazee wako kwa kuwa sisi ni wa ukoo wa manabii. Kumbuka kwamba wazee wetu wote, akina Noa, Abrahamu, Isaka na Yakobo, tangu mwanzo walioa wake kutoka koo zao, naye Mungu akawajalia watoto, na hao wazawa wao wataimiliki nchi ya Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

BIBLIA KISWAHILI

12 Mwanangu, ujihadhari na ukahaba; na zaidi ya hayo ujitwalie mke katika uzao wa baba zako; wala usijitwalie mwanamke mgeni asiye wa kabila ya baba yako. Maana sisi tu wana wa manabii. Mwanangu, ukumbuke; Nuhu, Abrahamu, Isaka, Yakobo, baba zetu tangu mwanzo; wote walioa watu wa jamaa zao wenyewe; wakabarikiwa katika watoto wao; na uzao wao utairithi nchi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

12 “Mwanangu, ujihadhari na maisha ya uasherati. Zaidi ya hayo, oa mke kutoka kabila la wazee wako. Usijichagulie mwanamke kuwa mkeo kutoka kabila lisilo la wazee wako kwa kuwa sisi ni wa ukoo wa manabii. Kumbuka kwamba wazee wetu wote, akina Noa, Abrahamu, Isaka na Yakobo, tangu mwanzo walioa wake kutoka koo zao, naye Mungu akawajalia watoto, na hao wazawa wao wataimiliki nchi ya Israeli.

Tazama sura Nakili

Tobiti 4:12
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo