Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 4:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Siku ile Tobiti aliikumbuka ile fedha aliyoiweka amana kwa Gabaeli huko Rage, mji wa Umedi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Siku hiyohiyo Tobiti akaikumbuka fedha yake aliyokuwa amemwachia Gabaeli kule Rage, nchini Media. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Siku hiyohiyo Tobiti akaikumbuka fedha yake aliyokuwa amemwachia Gabaeli kule Rage, nchini Media. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Siku ile Tobiti aliikumbuka ile fedha aliyoiweka amana kwa Gabaeli huko Rage, mji wa Umedi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Siku hiyohiyo Tobiti akaikumbuka fedha yake aliyokuwa amemwachia Gabaeli kule Rage, nchini Media. Tazama sura |