Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Ikiwa wao wamekufa, nenda zako nawe ukawafuate; tusikuone kabisa una mwana wala binti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kwa nini watunyanyasa sisi? Nenda zako, uwafuate wanaume zako marehemu. Heri tusione hata mtoto aliyezaliwa na wewe!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kwa nini watunyanyasa sisi? Nenda zako, uwafuate wanaume zako marehemu. Heri tusione hata mtoto aliyezaliwa na wewe!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Ikiwa wao wamekufa, nenda zako nawe ukawafuate; tusikuone kabisa una mwana wala binti. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Kwa nini watunyanyasa sisi? Nenda zako, uwafuate wanaume zako marehemu. Heri tusione hata mtoto aliyezaliwa na wewe!” Tazama sura |