Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Tobiti 3:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Maana alikuwa ameolewa na waume saba, bali Asmodeo, yule jini, aliwaua kabla hawajalala naye. Wakamwambia, Wewe hujui ya kuwa umewanyonga waume zako? Umekuwa na waume saba, wala hata mmoja wao hukupata faida naye. Mbona waturudia sisi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Huyu Sara alikuwa ameolewa mara saba, lakini jini Asmodeo lilimuua kila mume kabla mume huyo hajalala na Sara. Basi, huyo mtumishi wa kike akamwambia Sara, “Ewe mwuaji wa wanaume! Ona aibu! Umekwisha kuwa na wanaume saba, lakini hata mmoja wao hakukupatia mwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Huyu Sara alikuwa ameolewa mara saba, lakini jini Asmodeo lilimuua kila mume kabla mume huyo hajalala na Sara. Basi, huyo mtumishi wa kike akamwambia Sara, “Ewe mwuaji wa wanaume! Ona aibu! Umekwisha kuwa na wanaume saba, lakini hata mmoja wao hakukupatia mwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Maana alikuwa ameolewa na wanaume saba, bali Asmodeo, yule jini, aliwaua kabla hawajalala naye. Wakamwambia, Wewe hujui ya kuwa umewanyonga waume zako? Umekuwa na waume saba, wala hata mmoja wao hukupata faida naye. Mbona waturudia sisi?

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

8 Huyu Sara alikuwa ameolewa mara saba, lakini jini Asmodeo lilimuua kila mume kabla mume huyo hajalala na Sara. Basi, huyo mtumishi wa kike akamwambia Sara, “Ewe mwuaji wa wanaume! Ona aibu! Umekwisha kuwa na wanaume saba, lakini hata mmoja wao hakukupatia mwana.

Tazama sura Nakili

Tobiti 3:8
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo