Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Ikawa siku ile ile huko Ekbatana, mji wa Media. Sara binti Ragueli naye alishutumiwa na wajakazi wa baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Siku hiyohiyo, katika mji wa Ekbatana huko Media, Sara binti Ragueli, naye alitukanwa na mmoja wa watumishi wa kike wa baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Siku hiyohiyo, katika mji wa Ekbatana huko Media, Sara binti Ragueli, naye alitukanwa na mmoja wa watumishi wa kike wa baba yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Ikawa siku ile ile huko Ekbatana, mji wa Media. Sara binti Ragueli naye alishutumiwa na wajakazi wa baba yake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Siku hiyohiyo, katika mji wa Ekbatana huko Media, Sara binti Ragueli, naye alitukanwa na mmoja wa watumishi wa kike wa baba yake. Tazama sura |