Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Basi sasa unitende kama uonavyo vema; uniamuru niondolewe roho yangu, ili niruhusiwe na kuwa udongo tena; maana yanifaa kufa kuliko kuishi, kwa sababu nimesikia mashutumu yasiyo haki, nami naona huzuni nyingi. Uamuru basi nitolewe katika msiba huu niende mahali pa milele; wala usiugeuzie mbali nami uso wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Sasa unifanye utakavyo. Uitoe roho yangu, nitoweke hapa duniani, mwili wangu na uwe tena udongo. Kwangu afadhali kufa kuliko kuishi, maana nashutumiwa bila makosa; nimekata tamaa kabisa. Bwana, upende basi kuniondoa kwenye msiba huu, unipeleke kwenye pumziko la milele. Usinikatalie ombi langu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Sasa unifanye utakavyo. Uitoe roho yangu, nitoweke hapa duniani, mwili wangu na uwe tena udongo. Kwangu afadhali kufa kuliko kuishi, maana nashutumiwa bila makosa; nimekata tamaa kabisa. Bwana, upende basi kuniondoa kwenye msiba huu, unipeleke kwenye pumziko la milele. Usinikatalie ombi langu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi sasa unitende kama uonavyo vema; uniamuru niondolewe roho yangu, ili niruhusiwe na kuwa udongo tena; maana yanifaa kufa kuliko kuishi, kwa sababu nimesikia mashutumu yasiyo haki, nami naona huzuni nyingi. Uamuru basi nitolewe katika msiba huu niende mahali pa milele; wala usiugeuzie mbali nami uso wako. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Sasa unifanye utakavyo. Uitoe roho yangu, nitoweke hapa duniani, mwili wangu na uwe tena udongo. Kwangu afadhali kufa kuliko kuishi, maana nashutumiwa bila makosa; nimekata tamaa kabisa. Bwana, upende basi kuniondoa kwenye msiba huu, unipeleke kwenye pumziko la milele. Usinikatalie ombi langu.” Tazama sura |