Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Na sasa hukumu zako ni nyingi na za kweli; hata uje unitende kwa kadiri ya dhambi zangu na za baba zangu; kwa kuwa hatukuzishika amri zako; wala kuenenda kwa kweli mbele zako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mara nyingi umewahukumu babu zangu kadiri ya dhambi zao na mimi umeniadhibu kadiri ya dhambi zangu. Tulikosa uaminifu, tukavunja amri zako, kwa hiyo daima tuliadhibiwa kwa haki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mara nyingi umewahukumu babu zangu kadiri ya dhambi zao na mimi umeniadhibu kadiri ya dhambi zangu. Tulikosa uaminifu, tukavunja amri zako, kwa hiyo daima tuliadhibiwa kwa haki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Na sasa hukumu zako ni nyingi na za kweli; hata uje unitende kwa kadiri ya dhambi zangu na za baba zangu; kwa kuwa hatukuzishika amri zako; wala kuenenda kwa kweli mbele zako. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Mara nyingi umewahukumu babu zangu kadiri ya dhambi zao na mimi umeniadhibu kadiri ya dhambi zangu. Tulikosa uaminifu, tukavunja amri zako, kwa hiyo daima tuliadhibiwa kwa haki. Tazama sura |