Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Kwa maana hawakuzitii amri zako; kwa hiyo umetutoa tuwe mateka, hata na kuuawa; kuwa mithali ya shutumu kwao mataifa yote, ambao kwamba tumetawanyika katikati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wao hawakuzitii amri zako; kwa hiyo ukatuacha tushambuliwe, tuhamishwe na kuuawa. Ulitufanya kuwa fedheha na dharau miongoni mwa mataifa yote tulimotawanywa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wao hawakuzitii amri zako; kwa hiyo ukatuacha tushambuliwe, tuhamishwe na kuuawa. Ulitufanya kuwa fedheha na dharau miongoni mwa mataifa yote tulimotawanywa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Kwa maana hawakuzitii amri zako; kwa hiyo umetutoa tuwe mateka, hata na kuuawa; kuwa mithali ya shutuma kwao mataifa yote, ambao kwamba tumetawanyika katikati yao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Wao hawakuzitii amri zako; kwa hiyo ukatuacha tushambuliwe, tuhamishwe na kuuawa. Ulitufanya kuwa fedheha na dharau miongoni mwa mataifa yote tulimotawanywa. Tazama sura |