Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Unikumbuke, unitazame; usiniadhibu kwa ajili ya dhambi zangu na makosa yangu; wala kwa ajili ya dhambi za baba zangu walioasi mbele zako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi ee Bwana unikumbuke na kuniangalia; usiniadhibu kwa sababu ya dhambi zangu, wala kwa sababu ya makosa yangu, au makosa waliyofanya wazee wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi ee Bwana unikumbuke na kuniangalia; usiniadhibu kwa sababu ya dhambi zangu, wala kwa sababu ya makosa yangu, au makosa waliyofanya wazee wangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Unikumbuke, unitazame; usiniadhibu kwa ajili ya dhambi zangu na makosa yangu; wala kwa ajili ya dhambi za baba zangu walioasi mbele zako. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Basi ee Bwana unikumbuke na kuniangalia; usiniadhibu kwa sababu ya dhambi zangu, wala kwa sababu ya makosa yangu, au makosa waliyofanya wazee wangu. Tazama sura |