Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Ee BWANA, Wewe ndiwe mwenye haki, na matendo yako yote na njia zako zote ni rehema na kweli, nawe unahukumu kwa kweli na kwa haki milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Ee Bwana, wewe ni mwenye haki, matendo yako yote ni ya haki; hatua zako ni za rehema na ukweli Wewe ndiwe unayeuhukumu ulimwengu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Ee Bwana, wewe ni mwenye haki, matendo yako yote ni ya haki; hatua zako ni za rehema na ukweli Wewe ndiwe unayeuhukumu ulimwengu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ee BWANA, Wewe ndiwe mwenye haki, na matendo yako yote na njia zako zote ni rehema na kweli, nawe unahukumu kwa kweli na kwa haki milele. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 “Ee Bwana, wewe ni mwenye haki, matendo yako yote ni ya haki; hatua zako ni za rehema na ukweli Wewe ndiwe unayeuhukumu ulimwengu. Tazama sura |