Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Rafaeli akatumwa ili awaponye wote wawili, yaani, kuviambua vyamba vyeupe kutoka macho ya Tobiti; na kumwongoza Sara binti Ragueli aolewe na Tobia mwana wa Tobiti; tena kumfunga Asmodeo, yule jini; kwa sababu ni haki yake Tobia kumwoa Sara, maana yu mrithi. Hivyo wakati ule ule mmoja Tobiti alirudi akaingia nyumbani mwake, naye Sara binti Ragueli alishuka katika chumba chake cha juu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 naye akamtuma malaika Rafaeli kuwasaidia. Alitumwa kuondoa vile vigamba vyeupe machoni mwa Tobiti ili aweze kuona tena, na kufanya mipango ya ndoa kati ya Sara na Tobia, mwana wa Tobiti; Tobia alikuwa binamu ya Sara, na hivi alikuwa na haki ya kumwoa Sara. Rafaeli aliagizwa pia kuliondoa lile jini Asmodeo, lililokuwa limempagaa Sara. Naam, dakika ileile Tobiti alipoingia nyumbani mwake kutoka uani, Sara naye alikuwa akishuka kutoka ghorofani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 naye akamtuma malaika Rafaeli kuwasaidia. Alitumwa kuondoa vile vigamba vyeupe machoni mwa Tobiti ili aweze kuona tena, na kufanya mipango ya ndoa kati ya Sara na Tobia, mwana wa Tobiti; Tobia alikuwa binamu ya Sara, na hivi alikuwa na haki ya kumwoa Sara. Rafaeli aliagizwa pia kuliondoa lile jini Asmodeo, lililokuwa limempagaa Sara. Naam, dakika ileile Tobiti alipoingia nyumbani mwake kutoka uani, Sara naye alikuwa akishuka kutoka ghorofani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Rafaeli akatumwa ili awaponye wote wawili, yaani, kuviambua vyamba vyeupe kutoka macho ya Tobiti; na kumwongoza Sara binti Ragueli aolewe na Tobia mwana wa Tobiti; tena kumfunga Asmodeo, yule jini; kwa sababu ni haki yake Tobia kumwoa Sara, maana yu mrithi. Hivyo wakati ule ule mmoja Tobiti alirudi akaingia nyumbani mwake, naye Sara binti Ragueli alishuka katika chumba chake cha juu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA17 naye akamtuma malaika Rafaeli kuwasaidia. Alitumwa kuondoa vile vigamba vyeupe machoni mwa Tobiti ili aweze kuona tena, na kufanya mipango ya ndoa kati ya Sara na Tobia, mwana wa Tobiti; Tobia alikuwa binamu ya Sara, na hivi alikuwa na haki ya kumwoa Sara. Rafaeli aliagizwa pia kuliondoa lile jini Asmodeo, lililokuwa limempagaa Sara. Naam, dakika ileile Tobiti alipoingia nyumbani mwake kutoka uani, Sara naye alikuwa akishuka kutoka ghorofani. Tazama sura |