Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Basi ikawa sala zao wote wawili zilisikiwa mbele za enzi yake Mungu Aliye Juu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, maombi ya Tobiti na Sara yakakubalika mbele yake Mungu mwenyewe, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, maombi ya Tobiti na Sara yakakubalika mbele yake Mungu mwenyewe, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Basi ikawa sala zao wote wawili zilisikiwa mbele za enzi yake Mungu Aliye Juu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 Basi, maombi ya Tobiti na Sara yakakubalika mbele yake Mungu mwenyewe, Tazama sura |