Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Tobiti 3:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 wala sijalinajisi jina langu wakati wowote, wala jina la baba yangu, katika nchi ya kufungwa kwetu. Mimi ni binti pekee wa baba yangu, wala hana mtoto yeyote kuwa mrithi wake, wala ndugu aliye karibu; wala mwana wa ndugu yake, ambaye kwa ajili yake nijilinde ili niolewe naye. Waume zangu saba sasa wamekwisha kufa; mbona basi niishi mimi? Lakini ikiwa haikupendezi nife, uamuru niangaliwe na kuhurumiwa, nisizidi kusikia mashutumu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Sijalichafua jina langu wala jina la baba yangu nchini humu nilikohamishiwa. Mimi ni mtoto wa pekee wa baba yangu, yeye hana mtoto mwingine wa kumrithi, wala hana jamaa ambaye ataweza kunioa. Nimekwisha poteza wanaume saba; kwa nini niendelee kuishi? Kama hupendi kuniondoa duniani, walau uniangalie kwa huruma. Siwezi kustahimili kuendelea kushutumiwa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Sijalichafua jina langu wala jina la baba yangu nchini humu nilikohamishiwa. Mimi ni mtoto wa pekee wa baba yangu, yeye hana mtoto mwingine wa kumrithi, wala hana jamaa ambaye ataweza kunioa. Nimekwisha poteza wanaume saba; kwa nini niendelee kuishi? Kama hupendi kuniondoa duniani, walau uniangalie kwa huruma. Siwezi kustahimili kuendelea kushutumiwa!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 wala sijalinajisi jina langu wakati wowote, wala jina la baba yangu, katika nchi ya kufungwa kwetu. Mimi ni binti pekee wa baba yangu, wala hana mtoto yeyote kuwa mrithi wake, wala ndugu aliye karibu; wala mwana wa ndugu yake, ambaye kwa ajili yake nijilinde ili niolewe naye. Waume zangu saba sasa wamekwisha kufa; mbona basi niishi mimi? Lakini ikiwa haikupendezi nife, uamuru niangaliwe na kuhurumiwa, nisizidi kusikia mashutumu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Sijalichafua jina langu wala jina la baba yangu nchini humu nilikohamishiwa. Mimi ni mtoto wa pekee wa baba yangu, yeye hana mtoto mwingine wa kumrithi, wala hana jamaa ambaye ataweza kunioa. Nimekwisha poteza wanaume saba; kwa nini niendelee kuishi? Kama hupendi kuniondoa duniani, walau uniangalie kwa huruma. Siwezi kustahimili kuendelea kushutumiwa!” Tazama sura |